KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA YA UTABIBU KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024



Joining Instructions
Napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza na kukutaarifu kwamba Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) imekuchagua kujiunga na mafunzo ya Stashahada ya Utabibu ngazi ya Nne (NTA Level 4) katika Chuo cha AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI-LINDI Mafunzo haya ni ya miaka mitatu (3).
Chuo kitafunguliwa tarehe 09 Oktoba, 2023 na unapaswa kuripoti chuoni kuanzia saa 1.30 asubuhi hadi saa 11.30 jioni. Endapo utashindwa kuripoti ndani ya wiki mbili tangu chuo kufunguliwa nafasi yako itapotea na kujazwa na muombaji mwingine.
Soma zaidi kweye PDF/Download PDF

 


LICHAS